Kikuyu
(Elekezwa kutoka Kigikuyu)
Tazama pia: Wagikuyu
Kikuyu ni mji wa Kenya ya Kati, katika Kaunti ya Kiambu, pia ni kata ya eneo bunge la Kikuyu[1].
Kikuyu | |
Mahali pa mji wa Kikuyu katika Kenya |
|
Majiranukta: 1°15′0″S 36°40′0″E / 1.25000°S 36.66667°E | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Kiambu |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 233,231 |
Tanbihi
hariri- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine
- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kikuyu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |