Eneo bunge la Kikuyu


Eneo bunge la Kikuyu ni mojawapo ya majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Linapatikana katika Kaunti ya Kiambu miongoni mwa majimbo kumi na mawili ya kaunti hiyo.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia

hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988. Kuanzia uchaguzi wa 1988 hadi ule wa 2002, jimbo hili lilikuwa likijulikana kama Jimbo la Uchaguzi la Kabete.

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963 Joseph Kararahe Gatuguta KANU
1969 Joseph Kararahe Gatuguta KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Amos Ng’ang’a KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Amos Ng'ang'a KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1980 Charles Njonjo KANU Uchaguzi Mdogo. Mfumo wa Chama Kimoja
1983 Peter Kabibi Kinyanjui KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 Peter Kabibi Kinyanjui KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Paul Kibugi Muite Ford-K
1997 Paul Kibugi Muite Safina
2002 Paul Kibugi Muite Safina
2007 Lewis Nguyai Nganga PNU
Wodi
Wodi Wapiga Kura
Waliojisajili
Baraza la Utawala wa Mtaa
Kabete 11,479 Kikuyu (mji)
Karai 12,602 Kiambu county
Kikuyu 17,510 Kikuyu (mji)
Kinoo 15,707 Kikuyu (mji)
Muguga 14,475 Kikuyu (mji)
Nyathuna 11,572 Kikuyu (mji)
Jumla 83,345
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

hariri

Marejeo

hariri