Kigoaria
Kigoaria ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wagoaria. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kigoaria imehesabiwa kuwa watu 25,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigoaria iko katika kundi la Kiaryan. Wengine huiangalia kama lahaja ya Kisadri nchini Uhindi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kigoaria kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigoaria Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kigoaria katika Glottolog
- lugha ya Kigoaria kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigoaria kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |