Kigogota (jenasi)

(Elekezwa kutoka Kigogota)
Kigogota
Kigogota wa Amerika Kusini (White-barred piculet)
Kigogota wa Amerika Kusini (White-barred piculet)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Piciformes (Ndege kama vigong'ota)
Familia: Picidae (Ndege walio na mnasaba na vigong'ota)
Nusufamilia: Picumninae (Ndege walio na mnasaba na vigogota)
Ngazi za chini

Jenasi 3:

Vigogota ni ndege wa nusufamilia Picumninae katika familia Picidae. Wanafanana na vigong'ota wadogo lakini domo lao ni dugi na fupi zaidi. Kwa hivyo hutafuta wadudu na mabuu katika miti na matawi yanayooza. Spishi moja tu inatokea Afrika. Jike huyataga mayai 2-4 katika tundu la kigong'ota.

Spishi ya Afrika

hariri

Spishi za mabara mengine

hariri