Kigujari ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi, Pakistan na Afghanistan inayozungumzwa na Wagujari. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kigujari nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 690,000. Pia kuna wasemaji 300,000 nchini Pakistan (1992) na wasemaji 2000 nchini Afghanistan (1994). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigujari iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigujari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.