Kigun
lugha inayozungumzwa Nigeria na Benin
Kigun ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin na Nigeria inayozungumzwa na Wagun. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kigun nchini Benin imehesabiwa kuwa watu 320,000. Pia kuna wasemaji 259,000 nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigun iko katika kundi la Kikwa.
Kigun
Sehemu ya | Kigbe-Weme |
---|---|
Native label | Gungbe |
Nchi | Benin, Nigeria |
Indigenous to | Ouémé, Plateau (Benin), Federal Capital Territory, Jimbo la Lagos, Jimbo la Ogun |
Located in the administrative territorial entity | Badagry |
Mfumo wa uanadishi | alfabeti ya Kilatini |
Ethnologue language status | 5 Developing |
Wikimedia language code | guw |
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kigun kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigun Archived 16 Februari 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kigun katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/guw
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |