Kigunwinggu (au Kikunwinjku) ni lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia inayozungumzwa na Wagunwinggu katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kigunwinggu ilihesabiwa kuwa watu 1200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigunwinggu kiko katika kundi la Kigunwinggiki pamoja na Kikunbarlang.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigunwinggu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.