Kigunbarlang (pia Kikunbarlang au Kiwarlang) ni lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia inayozungumzwa na Wagunbarlang katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kigunbarlang ilihesabiwa kuwa watu kumi na tisa tu, yaani lugha iko hatarini mwa kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigunbarlang kiko katika kundi la Kigunwinggiki pamoja na Kigunwinggu.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikunbarlang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.