Kiindonesia

Kiindonesia (kwa Kiindonesia: Bahasa Indonesia) ni lugha ya Kiaustronesia inayozungumzwa na watu milioni 23 (uliotokea Kiindonesia wasemaji) hasa nchini Indonesia. Idadi ya wasemaji wa lugha za Kiindonesia ni takriban milioni 240.

Indonesia
Kiindonesia Kiswahili
Selamat siang! Hujambo!
Apa kabar? Habari yako?
Ya Ndiyo
Tidak Hapana
Siapa nama anda? Jina lako ni nani?
Anda berasal dari mana? Unatoka wapi?
Bisa bahasa Inggris? Unazungumza kiingereza?
Terima kasih Asante
satu moja
dua mbili
tiga tatu
empat nne
lima tano
enam sita
tujuh saba
delapan nane
sembilan tisa
sepuluh kumi

Viungo vya njeEdit