Kiinterlingue (awali: Occidental) ni lugha ya kupangwa iliyoanzishwa na Edgar de Wahl mwaka 1922 kwa kutegemea zaidi lugha za Kihindi-Kiulaya , hasa lugha za Kirumi.

Fasihi

hariri
  • Kajš, Jan Amos (1938) Krasina, raconta del subterrania del Moravian carst[1].
  • Podobský, Jaroslav (1935/1947) Li astres del Verne[2].
  • Costalago, Vicente (2021) Li sercha in li castelle Dewahl e altri racontas[3].
  • Costalago, Vicente (2021) Antologie hispan[4].
  • Costalago, Vicente (2021) Fabules, racontas e mites[5].

Marejeo

hariri
  1. Krasina : Raconta del subterrania del Moravian Carst. OCLC 493973352.
  2. Li Astres del Verne : Poesie. OCLC 494042722.
  3. Li sercha in li castelle Dewahl e altri racontas
  4. "Antologie hispan". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-04-09. Iliwekwa mnamo 2022-01-01.
  5. "Fabules, racontas e mites". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-04-09. Iliwekwa mnamo 2022-01-01.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiinterlingue kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.