Kiizon ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waizon. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kiizon imehesabiwa kuwa watu milioni moja. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiizon iko katika kundi la Kiijoidi.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiizon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.