Kijiji cha Nachunyu

Kijiji cha Nachunyu kinapatikana katika kata ya Nachunyu, wilaya ya Lindi Vijijini. Ndiyo makao makuu ya kata.

Kijiji cha Nachunyu kina vitongoji kama ifuatavyo: Namtumbula, Tandika, Majengo, Mkopwe, Ujenzi, Msangi, Michenje pamoja na Bondeni.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Lindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kijiji cha Nachunyu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.