Kikamta (au Kirangpuri) ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Bangladesh na Uhindi inayozungumzwa na Wakamta. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikamta imehesabiwa kuwa watu milioni kumi nchini Bangladesh na watu milioni tano nchini Uhindi. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikamta iko katika kundi la Kiaryan.

Wikimedia hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikamta kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.