Kikemak
Kikemak (pia Kiema) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Timor-Mashariki na Indonesia inayozungumzwa na Wakemak kwenye kisiwa cha Timor. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kikemak imehesabiwa kuwa watu 62,000 nchini Timor-Mashariki na 10,000 nchini Indonesia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikemak iko katika kundi la Kitimor-Babar.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikemak kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikemak Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikemak katika Glottolog
- lugha ya Kikemak kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikemak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |