Kikisar (pia Kimeher au Kiyotowawa) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakisar kwenye visiwa vya Kisar, Roma na Wetar. Wakisar wengine wamehamia visiwa vya [[Ambon na Timor. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kikisar imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikisar iko katika kundi la Kitimor-Babar.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikisar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.