Kikisi-Kusini
Kikisi-Kusini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia na Sierra Leone inayozungumzwa na Wakissi. Lugha nyingine ya Kikisi ni Kikisi-Kaskazini nchini Guinea. Lugha hizo mbili zisichanganywe na lugha ya Kikisi nchini Tanzania. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kikisi-Kusini nchini Liberia imehesabiwa kuwa watu 115,000. Pia kuna wasemaji 85,000 nchini Sierra Leone. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikisi-Kusini iko katika kundi la Kiatlantiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikisi-Kusini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikisi-Kusini Ilihifadhiwa 22 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikisi-Kusini katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kss
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikisi-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |