Kikisi (Tanzania)
Kikisi ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakisi. Isichanganywe na Kikisi-Kaskazini nchini Guinea wala na Kikisi-Kusini nchini Liberia; tena ni tofauti na Kikisii nchini Kenya. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji ya Kikisi imehesabiwa kuwa watu 10,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie, lugha ya Kikisi iko katika kundi la G60.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikisi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikisi Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikisi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kiz
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Archived 4 Oktoba 2006 at the Wayback Machine.
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kikisi)
Marejeo
hariri- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Waane, S[imon] A[lcuin] C[ornelio]. 1976. Pottery making traditions of the Ikombe Kisi of Kyela district: an anthropological paper. (Occasional papers from the National Museum of Tanzania, no 4.) Dar es Salaam. Kurasa 50.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikisi (Tanzania) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |