Kikowiai (pia Kiadi au Kinamatota) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakowiai kwenye visiwa vya Papua, Namatote na Adi na vinginevyo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikowiai imehesabiwa kuwa watu 600 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikowiai iko katika kundi la Kibomberai.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikowiai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.