Adi ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kusini wa rasi ya Bomberai kisiwani kwa Papua. Eneo la kisiwa ni 158 km². Makazi makubwa kabisa kisiwani huitwa Manggawitu; yako pwani kwa kaskazini kwa kisiwa. Watu wakaao kisiwani kwa Adi huongea Kimalay ya Papua na Kikowiai.[1]

Mitzpe_Adi


Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

  1. "National Geographic Adi Island".