Kikuy
Kikuy ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uthai, Kamboja na Laos inayozungumzwa na Wakuy. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikuy nchini Uthai imehesabiwa kuwa watu 400,000. Pia kuna wasemaji 42,800 nchini Laos (2005) na 10,000 nchini Kamboja. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikuy iko katika kundi la Kikatuiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikuy kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikuy Archived 11 Agosti 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikuy katika Glottolog
- lugha ya Kikuy kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikuy kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |