Kikw'adza (au Kiqwadza) ilikuwa lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Tanzania iliyozungumzwa na Wakw'adza. Mkw'adza wa mwisho aliyejua kuongea lugha hiyo alifariki kati ya mwaka 1976 na 1999, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikw'adza iko katika kundi la Kikushi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikw'adza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.