Kimakhuwa-Moniga
Kimakhuwa-Moniga ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Wamakua. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kimakhuwa-Moniga imehesabiwa kuwa watu 200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimakhuwa-Moniga iko katika kundi la P30.
Angalia pia
haririViungo vya nje
hariri- lugha ya Kimoniga kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimoniga Archived 23 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimoniga katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mhm
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimakhuwa-Moniga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |