Kimalay cha Ambon

(Elekezwa kutoka Kimalay ya Ambon)

Kimalay ya Ambon ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamalay kwenye visiwa vya Ambon, Haruku, Nusu Laut, Saparua, Seram na Wamar. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kimalay ya Ambon nchini Indonesia imehesabiwa kuwa watu 200,000. Pi kuna wasemaji 45,000 nje ya Indonesia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalay ya Ambon iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalay cha Ambon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.