Kimanda (Australia)

lugha ya asili ya Australia

Kimanda ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wamanda katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 1983, kulikuwa na wasemaji wa Kimanda 25 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimanda kiko katika kundi la Kiwagaydy. Kisichanganywe na lugha ya Kimanda nchini Tanzania wala na lugha ya Kimanda nchini Uhindi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimanda (Australia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.