Kimatengo ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wamatengo. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kimatengo imehesabiwa kuwa watu 150,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimatengo iko katika kundi la N10.

Viungo vya nje hariri

Marejeo hariri

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Ebner, Fr. Elzear P. 1957. Grammatik der kiMatengo-Sprache. Liparamba (Tanganyika). Kurasa 125.
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimatengo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.