Kimbundu ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Wambundu. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kimbundu imehesabiwa kuwa watu milioni tatu. Kisichanganywa na Kiumbundu ambacho ni lugha tofauti nchini kulekule. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbundu iko katika kundi la H20.

Kimbundu

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbundu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.