Kimerwari ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamerwari. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimerwari imehesabiwa kuwa watu 3,900,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimerwari iko katika kundi la Kiaryan. Wataalamu wengine huiangalia kama lahaja ya Kimarwari.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimerwari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.