Kimilili ni mji wa Kenya Magharibi, kaunti ya Bungoma.

Pikipiki huko Kimilili.


Kimilili
Nchi Kenya
Kaunti Bungoma
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 94,927

Katika sensa ya mwaka 2009, ulikuwa na wakazi 94,927[1].

Kimilili ni kata ya Eneo bunge la Kimilili[2].

Tanbihi hariri

  1. Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009
  2. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine