Kinahari
Kinahari ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wanahari. Isichanganywe na Kinihali ambayo ni lugha tofauti. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kinahari imehesabiwa kuwa watu 20,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinahari iko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kinahari kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinahari Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kinahari katika Glottolog
- lugha ya Kinahari kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinahari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |