Kinihali ni lugha nchini Uhindi inayozungumzwa na Wanihali. Isichanganywe na lugha ya Kinahali ambayo ni lugha ya Kihindi-Kiulaya. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kinihali imehesabiwa kuwa watu 2000. Kuhusu uainishaji wa lugha, Kinihali hailingani na lugha nyingine yoyote.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinihali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.