Kinugunu (Australia)
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka
Kinugunu kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wanugunu katika jimbo la Australia Kusini. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kinugunu imetoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinugunu kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi. Isichanganywe na lugha ya Kinugunu cha Kamerun.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kinugunu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinugunu
- lugha ya Kinugunu katika Glottolog
- lugha ya Kinugunu katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinugunu (Australia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |