Kinyang'i ni lugha ya nchini Uganda iliyozungumzwa na Wanyangia. Mwaka wa 2002 idadi ya Wanyangia imehesabiwa kuwa watu 15,282 lakini karibu wote huzungumza Kikaramojong sasa. Haijulikani kama bado kuna wasemaji wa asili wa Kinyang'i, labda mtu mmoja tu (2017).

Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyang'i kiko katika kundi la Kikuliak ambalo ni tofauti sana na lugha za Kinilo-Sahara ambazo pengine zinahusianishwa nalo.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyang'i kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.