Kinyaturu ( pia huitwa Kirimi) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wanyaturu. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kinyaturu imehesabiwa kuwa watu 595,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyaturu iko katika kundi la F30.

Viungo vya nje hariri

Marejeo hariri

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Dempwolff, Otto. 1914/15. Beiträge zur Kenntnis der Sprachen in Deutsch-Ostafrika. Teil 6: Limi (Rimi). Zeitschrift für Kolonialsprachen, 5, uk.270-298.
  • Olson, Howard S. 1964. The phonology and morphology of Rimi. (Hartford studies in linguistics, vol 14.) Hartford (Connecticut): Hartford Seminary Foundation Bookstore. Kurasa xvi, 257.
  • Schregel, W. 1913. Abriss einer Grammatik der Kinyaturusprache. Mitteilungen des Seminars für orientalische Sprachen, 16 (III. Abt.), uk.60-92.
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyaturu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.