Katika utarakilishi, kioneshatariki (kwa Kiingereza: router device) ni kifaa cha mtandao kinachotumika ili kutuma vifurushi data kati ya tarakilishi mbalimbali. Kwa mfano, kurasa za mtandao na barua pepe zinatumwa kwa ajili ya vifurushi data.[1][2]

Kioneshatariki cha nyumbani.

Tanbihi hariri

  1. "Overview Of Key Routing Protocol Concepts: Architectures, Protocol Types, Algorithms and Metrics". Tcpipguide.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 20 December 2010. Iliwekwa mnamo 15 January 2011.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Cisco Networking Academy's Introduction to Routing Dynamically". Cisco. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo October 27, 2015. Iliwekwa mnamo August 1, 2015.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)

Marejeo hariri

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).
  Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.