Kirajbanshi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Nepal inayozungumzwa na Warajbanshi. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kirajbanshi imehesabiwa kuwa watu 143,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kirajbanshi iko katika kundi la Kiaryan. Wengine huiangalia kama lahaja ya Kirangpuri nchini Uhindi na Bangladesh.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirajbanshi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.