Kiraro ni kasoko ya volkeno yenye kimo cha mita 864 juu ya usawa wa bahari.

Volikano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Tharaka-Nithi, Kenya[1][2].

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. www.volcanolive.com
  2. http://wikimapia.org