Kiritarungo

lugha ya asili ya Australia

Kiritarungo (au Kiritharngu) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Waritarungo katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kiritarungo 32 tu, na lugha imo hatarini mwa kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiritarungo kiko katika kundi la Kiyolngu.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiritarungo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.