Kisangasa ni kata ya Wilaya ya Kilindi katika Mkoa wa Tanga, Tanzania.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 18,415 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9,591 waishio humo[2].

Fursa zilizopo: ardhi yenye rutuba kwa kilimo cha mazao mbalimbali ikiwemo mihogo.

Huduma za Afya: kuna zahanati mbili, moja ya serikali na nyingine ya umiliki binafsi, na zinatoa huduma nzuri kwa wakazi na kata jirani.

Marejeo

hariri
  1. https://www.nbs.go.tz
  2. "Sensa ya 2012, Tanga - Kilindi DC" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2016-05-17.
  Kata za Wilaya ya Kilindi - Mkoa wa Tanga - Tanzania  

Bokwa | Jaila | Kibirashi | Kikunde | Kilindi | Kilwa | Kimbe | Kisangasa | Kwediboma | Kwekivu | Lwande | Mabalanga | Masagalu | Mkindi | Msanja | Mvungwe | Negero | Pagwi | Saunyi | Songe | Tunguli


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kisangasa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.