Wilaya ya Kilindi
Kwa maana mbalimbali ya jina hili tazama hapa Kilindi
Kilindi District Council | |
Location in Tanzania (dark green) | |
Country | Tanzania |
---|---|
Zone | Northern |
Region | Tanga |
Serikali | |
- DC | Mh.Sauda Salumu Mtondoo |
- DED | Mr.Clemence Mwakasendo |
Eneo | |
- Jumla | 3,428.43 km² |
Idadi ya wakazi (2022) | |
- Wakazi kwa ujumla | 398,391 |
EAT | (UTC+3) |
Msimbo wa posta | 216xx |
Kodi ya simu | 027 |
Tovuti: kilindidc.go.tz |
Wilaya ya Kilindi ni kati ya wilaya 11 za Mkoa wa Tanga katika Tanzania yenye postikodi namba 74208.
Imepakana na wilaya ya Handeni upande wa mashariki, Mkoa wa Kilimanjaro upande wa magharibi-kaskazini na Mkoa wa Morogoro upande wa kusini.
Mwaka 2012 ilikuwa na wakazi 236,833 walioishi katika kata 20 za wilaya hiyo. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 398,391 [1].
Makao makuu ya wilaya yapo Songe.
Tazama pia
haririMarejeo
haririViungo vya nje
haririKata za Wilaya ya Kilindi - Mkoa wa Tanga - Tanzania | ||
---|---|---|
Bokwa | Jaila | Kibirashi | Kikunde | Kilindi | Kilwa | Kimbe | Kisangasa | Kwediboma | Kwekivu | Lwande | Mabalanga | Masagalu | Mkindi | Msanja | Mvungwe | Negero | Pagwi | Saunyi | Songe | Tunguli |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kilindi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |