Kisiwa cha Agilkia
Kisiwa cha Agilkia (pia huitwa Agilika ; Kiarabu : أجيليكا ) ni kisiwa kilicho kwenye hifadhi ya Bwawa la Old Aswan kando ya Mto Nile kusini mwa Misri; ni eneo la sasa lililohamishiwa hekalu la ancient Misri eneo la Philae . Kiasi cha mafuriko kutokana na ujenzi wa bwawa la zamNyotamkiaani mnamo 1902,[1][2] eneo la Philae lilibomolewa na kuhamishwa hadi kisiwa cha Agilkia. kama sehemu ya mradi mpana wa UNESCO[3] unaohusiana na ujenzi wa miaka ya 1960 wa Bwawa Kuu la Aswan na kuendelea kwa mafuriko yaliwekwa maeneo mengi kutokana na hifadhi yake kubwa ya maji.[4][5]
Agilkia, kama kisiwa, lilikuwa jina lililochaguliwa kama eneo lililopangwa la kutua kwa nyotamkia(comet) ya misheni ya Rosetta na Philae lander.[6][7] Hata hivyo, baada ya kugusa chini, lander ilipiga kishindo kikubwa ikifuatiwa na kingine kidogo hatimaye kuja kutulia kama kilomita kadhaa kutoka Agilkia, kwenye eneo linaloitwa Abydos.
Marejeo
hariri- ↑ "The Century Magazine", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-11-12, iliwekwa mnamo 2022-06-11
- ↑ Peel, Sidney Cornwallis (1904). The binding of the Nile and the new Soudan. Robarts - University of Toronto. London E. Arnold.
- ↑ "International Campaign to save the monuments of Nubia". Museum International. 13 (2): 65–66. 1960-06. doi:10.1111/j.1468-0033.1960.tb01436.x. ISSN 1350-0775.
{{cite journal}}
: Check date values in:|date=
(help) - ↑ Betts, P. (2015-01-01). "The Warden of World Heritage: UNESCO and the Rescue of the Nubian Monuments". Past & Present. 226 (suppl 10): 100–125. doi:10.1093/pastj/gtu017. ISSN 0031-2746.
- ↑ Murray, Tim (2007). Milestones in archaeology : a chronological encyclopedia. Santa Barbara, Calif.: ABC-CLIO. ISBN 978-1-85109-645-9. OCLC 124074141.
- ↑ Gibney, Elizabeth (2014-09-15). "Rosetta comet lander gets a touchdown site". Nature. doi:10.1038/nature.2014.15925. ISSN 0028-0836.
- ↑ "European Space Agency Successfully Lands Spacecraft on Comet: November 12, 2014", Historic Documents of 2014, CQ Press, ku. 541–546, 2015, iliwekwa mnamo 2022-06-11
{{citation}}
: line feed character in|title=
at position 75 (help)
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Agilkia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |