Kisiwa cha Kaskazini (Turkana)

Kisiwa cha Kaskazini (Turkana) ni kisiwa cha kaunti ya Turkana, nchini Kenya, kilichotokana na volikano yenye kimo cha mita 520 juu ya usawa wa bahari.

Kinapatikana katika ziwa Turkana.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri