Kisiwa cha Ukerewe

2°01′45″S 33°00′35″E / 2.029300°S 33.009796°E / -2.029300; 33.009796

Ukerewe kusini mashariki mwa Ziwa Viktoria.

Kisiwa cha Ukerewe ndicho kisiwa kikuu cha Tanzania ambacho kinapatikana katika Ziwa Viktoria, kiasi kwamba hilo linaitwa pia "Ziwa Ukerewe". Wenyeji wanakiita "Bukerebe".

Kikiwa na eneo la Km² 530 hivi, ndicho pia kisiwa kikuu cha Afrika kisicho cha baharini na kisiwa cha ziwani cha pili duniani kwa ukubwa.

Pamoja na visiwa vya jirani kinaunda Wilaya ya Ukerewe katika Mkoa wa Mwanza.

Wakazi wake ni 345,147.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Ukerewe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.