Kisumbawa ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasumbawa kwenye visiwa vya Sumbawa na Moyo. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kisumbawa imehesabiwa kuwa watu 300,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisumbawa iko katika kundi la Kibali-Sasak-Sumbawa.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisumbawa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.