Kithai ni lugha ya taifa na lugha rasmi ya nchini Thailand pamoja na kuwa lugha mama ya Wathai, kikundi kikubwa cha Thailand.

Karibu watu milioni 70/75 wanazungumza lugha hii.

Alfabeti

Alfabeti ya Kithai ina herufi 44. ก ข ฃ ค ฅ ฆ ง จ ฉ ช ซ ฌ ญ ฎ ฏ ฐ ฑ ฒ ณ ด ต ถ ท ธ น บ ป ผ ฝ พ ฟ ภ ม ย ร ล ว ศ ษ ส ห ฬ อ ฮ Lugha ya Kithai ina tarakimu zake za Kithai.

๑ 1 ๒ 2 ๓ 3 ๔ 4 ๕ 5 ๖ 6 ๗ 7 ๘ 8 ๙ 9 ๐ 0

Viungo vya nje

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Kithai ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kithai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.