Kitsonga
Kitsonga (pia Kishangaan) ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji, Afrika Kusini na Zimbabwe inayozungumzwa na Watsonga. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kitsonga katika nchi zote imehesabiwa kuwa watu 3,669,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitsonga iko katika kundi la S50.
Nakala mfano
haririBaba yetu yaliyoandikwa katika Kitsonga:
- Tata wa hina la nge matilweni,
- vito ra wena a ri hlawuleke;
- a ku te ku fuma ka wena;
- ku rhandza ka wena a ku endliwe misaveni,
- tanihi loko ku endliwa tilweni.
- U hi nyika namuntlha vuswa bya hina bya siku rin'wana ni rin'wana;
- u hi rivalela swidyoho swa hina,
- tanihi loko na hina hi rivalela lava hi dyohelaka;
- u nga hi yisi emiringweni,
- kambe u hi ponisa eka Lowo biha,
- Amen.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kitsonga kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitsonga
- lugha ya Kitsonga katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/tso
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitsonga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |