Kitswa ni lugha ya Kibantu hasa nchini Msumbiji inayozungumzwa na Watswa. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kitswa nchini Msumbiji imehesabiwa kuwa watu 1,160,000. Pia kuna wasemaji 20,000 nchini Afrika Kusini. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitswa iko katika kundi la S50.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitswa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.