Kitukang-Besi-Kaskazini

Kitukang-Besi-Kaskazini (pia Kibuton) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watukang-Besi kwenye visiwa vya Tukang-Besi, Kaledupa, Wangiwangi na Ruduma. Watukang-Besi wengine wamehamia visiwa vya Bacan, Taliabu, Mongole, Buru, Sulabesi, Seram na Ambon. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kitukang-Besi-Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 120,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitukang-Besi-Kaskazini iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitukang-Besi-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.