Kivyosa ni pijini na lugha ya kuundwa iliyoanzishwa mwaka 2014 na wanajamii wa r/conlangs katika Reddit, ambao walitaka kuiga pijini. Lugha hii imeundwa ili kuchunguza miingiliano kati ya lugha.

Bendera ya Kivyosa

Jina la lugha hii linatokana na maneno ya Kivyosa "vi" (sisi) na "glossa" (lugha).

Kivyosa husemekana kuwa “pijini ya kuundwa” kwa sababu kinafanana na pijini. Tangu mwanzo, maendeleo yake yameendeshwa na mazungumzo kati ya wanajamii wake tu. Kuna kanuni tatu tu katika Kivyosa:

  1. Kiingereza kisisemwe.
  2. Mradi mtu aeleweke, anasema Kivyosa kizuri.
  3. Hakuna usanifishaji semantiki au fonetiki.

Historia

hariri

Mnamo 24 Desemba 2014, mradi ulianzishwa na wanachama wa jumuiya ya Skype iliyohusiana na subreddit r/conlangs1. Lugha hii iliendelezwa katika mikutano ya video, ambapo waumbaji waliotoka popote duniani waliiga uundaji lugha. Kwa hivyo, Kivyosa kina vyanzo mbalimbali. Lugha zenye kuchanga zaidi ni:

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kivyosa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.