Kiwanda (lugha)

Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia Kiwanda (maana)

Kiwanda ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wawanda. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kiwanda imehesabiwa kuwa watu 24,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiwanda iko katika kundi la M20.

Viungo vya njeEdit

MarejeoEdit

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwanda (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.