Kiwangkumara

lugha ya asili ya Australia

Kiwangkumara ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawangkumara katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 2004, shirika la AUSTLANG lilitoa ripoti kudai kwamba idadi ya wasemaji wa Kiwangkumara ni watu 100, wote wazee, yaani lugha ya Kiwangkumara imekaribia kutoweka. Wengine husema kwamba ilitoweka tayari. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwangkumara kiko katika kundi la Kikarniki. Wengine hukiangalia kuwa lahaja ya Kingura.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwangkumara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.